Nahum 2:2

2 a Bwana atarudisha fahari ya Yakobo,
kama fahari ya Israeli,
ingawa waangamizi wamewaacha ukiwa
na wameharibu mizabibu yao.
Copyright information for SwhNEN